Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na mdau wa filamu Bi.Khadija Seif
(Didas) wakati alipomtembelea ofisini kwake kujadili jinsi gani ya
kutunisha mfuko wa maendeleo ya filamu.Bi Khadija anategemea kuchangisha
milioni 200 katika mfuko huo.mwingine pichani ni Bi.Joyce Fissoo ambae
ni Katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.

No comments:
Post a Comment