Social Icons

Sunday, 20 March 2016

NAPENDA NINACHO KIONA MBELE YANGU

Siku zote mtu anaambiwa fanya kile unacho ona unakipenda moyoni mwako.. 
Mimi kwa ujumla ni mtembezi sana na kikubwa zaidi tamgu zamani sana ninapenda sana maswala ya kupiga picha ... sijasomea au labda sio mtaalam lakini ipo tu Damuni hii mapenzi ya picha.
Juzi kati nimekaa katika ukuta flam nikakutana na hili ua hapa likiwa limependeza sana ... nikaona wacha nilifotoe.. lakini hapa naona namna gani nature inachukua nafasi yake .. 
Yatupasa kupenda na kuthamini haya Maua na kuyatunza vema.
Picha na Fredy Njeje 

No comments: