Social Icons

Friday, 20 May 2016

JANA NILIUNGANA NA WADAU WENGINE KIPANDE CHA HIGHSPIRIT KWENYE USIKU WA TIGO BURUDANI...

 
Hapa nikipata ukodaki wa Nguvu kabisa wakati wa Usiku wa Tigo Burudani ambapo hawa jamaa wabunifu sana walikuwa wanazindua michezo minne inayopatikana katika Simu yako ya kiganjani wakishirikiana na Huawei


 
Anaitwa Clants Mwantepele Mzee wa Fursa wa kwanza kulia hapa akitoa maelekezo kwa wadau Sky walker na  Hassby jinsi ya hizi Games zinavyofanya kazi.
 
Team Bloggers in the Building Meeen kutoka kushoto ni Father Kidevu, Mie mwenyewe, Kajuna na Mzee wa Mwanaharakati mzalendo aka Kikaragosi 
 
 Huu ukodaki wangu wa nguvu kabisa na mtu wangu wa karibu mwana
 
Huo ndio muonekano wa eneo hilo la Highspirit ambapo ilikuwa ni Bowmber Mbaya

Picha na Fredy Njeje 

No comments: