Huyu ni Dogo ni Si ndugu yangu tuu lakini ni Rafiki wa Karibu sana , sisi tunaelewana sana , hapa Mbeya kuna baridi kinoma ikatulazimu tujifariji kwa kula Mahindi duu..
Tuesday, 10 May 2016
PAMOJA NA NDUGU YANGU ELIYA TUKIPATA MAHINDI JIONI FLANI KITAA CHA SAE MBEYA
Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment