Social Icons

Wednesday, 4 May 2016

TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nick Sanga ukiwa tayari kwa kuingia  Kanisani
 Mwili wa Marehemu Andrew Nicky Sanga ukiwa unaingia Kanisani
 Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa kanisani
 Mtumishi wa Mungu akiwa anafungua Ibada ya Kumuaga Mpendwa wetu Andrew Nicky  Sanga
 
 
  Ndugu wa karibu na Marafiki  wa Mpendwa wetu Andrew Nicky  Sanga wakiwa katika Ibada
 Mtumishi wa Mungu akitoa Neno la Mahubiri wakati wa Ibada ya kumuaga Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
  Baadhi ya ndugu jamaa na Marafiki wakisikiliza neno la Mungu
 Kwaya wakiimba wimbo wao wa Kusifu
 Ibada ikiwa ikiwa inaendelea
 Rafiki wa  Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga  Victor Mponzi akisoma Wasifu wake
 Mwakilishi wa Familia Dkt. Sanga akitoa neno la Shukurani
 Wakijiandaa kutoa Heshima za Mwisho
 Mtumishi wa Mungu akifunga Ibada
 Ndugu jamaa na Marafiki wakiaga Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 
 Zoe na Mama yake wakimuaga Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 Marafiki wa karibu wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga wakimuaga
 Mtumishi wa Mungu akitoa Baraka kwa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 Baba mzazi wa marehemu (wa kwanza kulia) na Baba mdogo wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga wakiongoza msafara wa kutoka kanisani
 Ndugu jamaa na marafiki wakimsindikiza Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dodoma
 Marafiki wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga waliosindikiza mwili kutoka Houston Marekani wakijadili jambo
Ulikuwa ni Muda wa Kutwanga photoooo 

 Msafara wa kumsindikiza mpedwa wetu Andrew Sanga ukisindikizwa na Polisi kuelekea Dodoma ukwa unaanza safari , ambapo wao waliishia Kibaha 

Picha na Fredy Njeje

No comments: