Social Icons

Wednesday, 11 May 2016

WATU WENGI NI WAPENZI WA HII KITU, VIPI WEWE UMO NA MTAANI KWAKO IPO?

Katika pita pita zangu huwa napenda sana kupiga picha imekuwa ni sehemu ya Maisha yangu. Sasa hapa leo  nimepita hapa na jamaa zangu akina Omy na Nyota wakanambia tupate Mchuzi wa pweza huwa nausikia tuu sasa leo nikasema nitest.. duu kumbe sio mchezo ni mtamu sana .. basi ni hivi vingine vinanoga pia .. je hapo mtaani kwenu haya mambo vepeee

No comments: