Social Icons

Thursday, 11 August 2016

JUST IN JIONI HII: DALADALA YA MAKUMBUSHO-KARIAKOO LAGONGANA NA LORI MITAA YA SINZA

Daladala iliyokuwa inatokea Kariakoo kuelekea Makumbusho imegongana na lori jioni hii eneo la Sinza Kamanyola ambapo mwanafunzi mmoja na dereva wameumia sana na abiria wengine kujeruhiwa , mpaka tunaondoka eneo la tukio tumeacha Jeshi la Polisi na wasamalia wema wanaendelea na shughuli za kuokoa, Taarifa zaidi itatolewa na Jesehi la Polisi.

Picha na Blogs za Mikoa

No comments: