Social Icons

Monday, 15 August 2016

Maziko ya Mzee Aboud Jumbe Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Zanzibar

 Wananchi waliobeba jeneza la mwili wa Marehemu  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya mapinduzi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika mazishi ya Marehemu  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.

No comments: