Social Icons

Monday, 24 October 2016

MFALME WA MOROCCO MHE. MOHAMMED VI AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje

Vikundi vya ngoma na matarumbeta vikitumbuiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya kumpokea Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI  23/10/2016 Jijini Dar es Salaam.Baadhi wa viongozi na wadau mbalimbali kutoka nje ya nchi wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya kumpokea Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI  23/10/2016 aliyewasili kwa ajili ya ziara ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.

Ndege iliyombeba Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akielekea kumpokea mgeni wake Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI mara baada ya Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.


Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (aliyetangulia mbele) akishuka katika Ndege mara alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (wanaonekana katikati) wakiongozana kwenda jukwaani baada ya Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.

Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (aliyevaa kanzu) akiwa jukwaani pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kupokea heshima na kupigiwa mizinga 21 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 Jijini Dar es Salaam.

Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (aliyevaa kanzu) akiwa jukwaani pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kupigiwa mizinga 21 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 Jijini Dar es Salaam.


Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (wa pili kulia) pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakiangalia vikundi vya ngoma vikivyotumbuiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.

Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI (wa pili kulia) akiwapungia mkono baadhi ya Viongozi pamoja na wacheza ngoma mbalimbali waliokuja kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI wakifurahia ngoma mara baada ya Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.


(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)

No comments: