Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye amelazwa kwenye
wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye amelazwa kwenye
wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa
kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na
wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye
anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungia wananchi alipokuwa akitoka Sewa Haji katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na
mkewe ambaye anapatiwa matibabu.leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa
pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo leo Novemba 10,
2016.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment