Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejephotography Twitter @Fredynjeje
Alice
Mama wa Marehemu Mpoki Bukuku akisaidiwa kuweka shada la maua katika
kaburi la mwanaye Mpoki Bukuku wakati wa mazishi hayo yaliyofanyika
Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma Marehemu Mpoki alifariki hivi
karibuni jijini Dar es salaam kwa kugongwa na gari maeneo ya Mwenge.
Watoto
wa Marehemu Mpoki Bukuku Junior akiongozana na wadogo zake wakiweka
shada la maua katika kaburi la baba yao wakati wa mazishi yaliyofanyika
Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Junior akiwa ameshikili msalaba kwa majonzi wakati wa mazishi ya baba yake.
Mke wa Marehemu Mpoki Bukuku Bi. Lilian na watoto wake wakiaga mwili wa marehemu Mpoki Bukuku.
jeneza lenye Mwili wa marehemu Mpoki Bukuku likiteremshwa kaburini.
Mbunge wa Singida Mashariki Mh Lazaro Nyalandu akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mpoki Bukuku.
Mke wa Marehemu Bi Lilian akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu mumewe.
Viongozi wa Dini wakiwa katika ibada hiyo ya mazishi.
Ndugu na jamaa waombolezaji wakiomboleza kwa uchungu mkubwa.
Naibu
Waziri Anthony Mavunde pamoja na mbunge wa Singida Mashariki Mh. Razalo
Nyalandu wakiombea mwili wa marehemu Mpoki Bukuku.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu
Junior akiaga mwili wa baba yake Marehemu Mpoki Bukuku.
Mama wa Marehemu Mama Alice akiaga mwili wa mtoto wake mpendwa marehemu Mpoki Bukuku.
Waombolezaji wakiwa katika mstari wa kuaga mwili wa marehemu.
Naibu
Waziri Anthony Mavunde pamoja na mbunge wa Singida Mashariki Mh. Razalo
Nyalandu wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mpoki Bukuku.
Naibu Waziri Anthony Mavunde akitoa salam za pole kwa wafiwa.
Naibu Waziri Anthony Mavunde akisaini kitabu cha maombolezo.
Mpiga
picha wa magazeti ya Serikali TSN Habari Leo na Dairly News Bw. Mroki
Mroki akitoa salamu za pole kwa wafiwa kwa niaba ya chama cha
wapigapicha.
Bw. John Bukuku akitoa salamu za pole kwa wafiwa kwa niaba ya Wanamitandao
Mwenyekiti
wa Press Club ya waandishi wa habari mkoani Dodoma Bw. Chidawali akitoa
salamu zake kwa niaba ya wanahabari mkoani humo.
Mbunge wa Singida mjini Mh. Lazaro Nyalandu akitoa salam za pole kwa wafiwa.
Waombolezaji wakiwa katika mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku.
No comments:
Post a Comment