Social Icons

Friday, 9 December 2016

TUKIO KATIKA PICHA: MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA UHURU JIJINI DAR 2016

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejephotography Twitter @Fredynjeje
 Watu walikuwa wengi kila kona wanatazama matukio mbalimbali

 Mamia ya watu wakiwa katika maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru
 Majeshi mbalimbali wakipita katika mwendo wa kasi na pole pole
 Watu wakiwa wamejaa Kila kona kushuhudia sherehe za Uhuru
 Brass Band wakiendelea kutumbuiza
 Kila mtu anatazama matukio mbalimbali
 Makomando wakiwa wanaonesha 'skills' mbalimbali 
Wakiendelea na maonesho
 Palijaa sana mpaka watu wengine wakawa nje tuu
 Pamejaa sana Uwanja wa Uhuru
 Kwa hakika ilikuwa poa sana
 Kwaya Ikitumbuiza
 Jukwaa kuu
 Na sherehe ikaishia hapa...... Viongozi wakaanza kuondoka baadae wananchi nao hao wakaondoka ......
Picha zote  na Fredy Njeje
Insta @fredynjejephotography

No comments: