Social Icons

Tuesday 31 January 2017

Rais Magufuli Ahudhuria Kikao Cha Umoja wa Afrika Mjini Addis Ababa Ethiopia

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejephotography Twitter @Fredynjeje
magufuli-1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JohnPombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Manuel Olveira Guterres (katikati) wakati alipokuwa kwenye mojawapo yavikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yakemjini Addis Ababa nchini Ethipia. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga.

magufuli-2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya vikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yake mjini Addis Ababa nchini Ethipia.
PICHA NA IKULU

magufuli-3

 

No comments: