Social Icons

Thursday 9 November 2017

MISA YA KISWAHILI, JUMAPILI 12 NOVEMBA 2017


Image result for misa ya kiswahili new york
Wakristu wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,

Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 12 Mwezi Novemba 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 12 th Nov 2017 at 2 pm).

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia,
Between Lexington and Park Avenue

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mbarikiwe.
Karibuni...sana..

Kutoka kwa Padre Mushi na Padre Amobi

No comments: