Waziri
Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa
nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi
wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Balozi wa Kuwait Bw. Jasem
Ibrahim Al-Najem.
Balozi
wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem aliyesimama akiongea na baadhi ya
wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki
ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam ,
katikati waliokaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na anayefuata ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo
Dkt. Respicious Lwezimula.
Balozi
wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem kulia akimkabidhi zawadi ya
mchango mkubwa katika Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu kushoto wakati wa
uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri
Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
akizindua Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini
Dar es Salaam akiwa na Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.
Balozi
wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem akichangia damu katika Benki ya
damu mpya iliyozinduliwa na Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi huo uliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Lwezimula aliyesimama
akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI
wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait
leo jijini Dar es Salaam, kulia aliyekaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakimsikiliza kwa makini
ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu hayupo pichani wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu
iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam.
Mwanachama
wa Kikundi cha Kutayarisha Madereva wa Magari Makubwa Wanawake (WOW)
Afrika Mashariki Bi. Rehema Mwangolombe akiwa katika maandalizi ya
kuchangia damu damu katika Benki ya damu mpya iliyozinduliwa na Waziri
Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
wakati wa uzinduzi huo uliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
PICHA NA ALLY DAUD- WAMJW
No comments:
Post a Comment