Mwenyekiti
wa Muda wa Asasi ya kiraia ya Legal Services Facilities (LSF) Dkt.
Benson Bani , akitoa neno la ufunguzi wakati wa warsha ya wadau wanaotoa
huduma ya msaada wa kisheria.
Mkurugenzi
wa Asasi ya kiraia ya LSF Bw. Kees Groenendijk akitoa mada yake ambapo
alizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuelezea malengo,
mambo mbalimbali yaliyofanyika kwa mwaka 2017 pamoja na mwelekeo kwa
mwaka 2018, wakati wa warsha ya wadau wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria.
Meneja
Miradi wa LSF Bw.Ramadhani masele akielezea kiundani juu ya utendaji ,
mrejesho na nini kifanyike wakati wa warsha ya wadau wanaotoa huduma ya
msaada wa kisheria.
Baadhi
ya wakurugenzi na wajumbe wa Bodi za ya wadau wanaotoa huduma ya
msaada wa kisheria wakitoa maoni mbalimbali wakati wa warsha hiyo
Afisa
ufuatiliaji na tathimini kutoka LSF Bi. Saada Mkangwa akitoa ufafanuzi
juu ya ukusanywaji wa taarifa za wanufaika wa ruzuku.
Mkurugenzi
wa miradi wa LSF Bi. Scholastica Julla akitoa ufafanuzi wa jambo
wakati wa warsha ya wadau wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria.
Makundi
mbalimbali ya ya wakurugenzi pamoja na wajumbe wa bodi za wadau
wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria wakijadili mambo mbalimbali na
namna watakavyofanya kazi na LSF kwa mwaka 2018.
Wawakilishi
katika makundi wakitoa mrejesho wa kile ambacho walikuwa wamekijadili
wakati wa warsha ya wadau wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria, ambapo
wote walionesha kuwa watafanya kazi zao kwa weredi zaidi kwa mwaka 2018
Meneja
wa ufuatiliaji na matokeo kutoka LSF Bw. Said Chitung akielezea mambo
mbalimbali pamoja na malengo ya LSF kufikia 2021 wakati wa warsha ya
wadau wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria.
Wakurugenzi
na wajumbe wa bodi wakati wakiendelea kufuatilia mambo mbalimbali ya
warsha ya wadau wanaotoa huduma ya msaada wa kisheria iliyofanyika
jijini Dar es salaam.
Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa Tanzania
No comments:
Post a Comment