Social Icons

Monday 28 October 2013

HAPPY BATHDAY DADA YANGU WA UKWEE! C.E.O JESTINA GEORGE MERU.. THE STRONG BLOGGER

Eeh kwanza nisiseme sana ingia hapa JESTINA GEORGE BLOG  Jionee wewe mwenyewee jinsi mambo yake yanavyo kwenda.

Si Blogger tuu lakini ni Mwanamitindo mzuri tuu sana....
Pichani ndiye Mwanadada Jestina George ambaye leo anatimiza Miaka kadhaa tangu alipo Zaliwa ..  

Sitapenda kusema Mengi sanaaa nitakuchosha msomaji wangu wa nguvu sana, naungana na wadau wote kukutakia maisha marefu zaidi na afya njema... Mwaka huu uwe mwaka wako.



1 comment:

Jestina George said...

Asante sana kaka Fredy Mapenzi tele kwako