Meneja wa kinywaji cha Balimi Extra Lager,Edith Bebwa (aliesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi katika mkoa wa Kigoma yaliyofanyika kwenye ufukwe wa Ziwa Tanganyika mkoani humo.
Nahodha wa timu ya wakina mama Grooup ya mjini Kigoma akihesabu fedha za ushidhi wa timu yake katika mashindano hayo mara baada ya kukabidhiwa na fedha hizo na Meneja wa kinywaji cha Balimi Extra Lager,Edith Bebwa (kulia).Mashindano haya ya Mitumbwi ya Balimi Extra Lager yalifanyika kwenye ufukwe wa Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma hivi karibuni.
timu zikijandaa kuingia kwenye maji ndani ya ziwa Tanganyika tayari kwa kuanza mashindano.
Michuano mikali ikiendelea ndani ya Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma.
Katika Mashindano hayo ya Mitumbwi ya Balimi Extra Lager,wakina mama ndio waliokuwa kivutio kikubwa sana kwa mwaka huu kama wanavyoonekana wakitafakari jambo kabla ya kuingia kwenye mashindano.
No comments:
Post a Comment