Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya SUGAL & DAMANI, Kamlesh Vijay akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampunu ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT Tanzania, Arvind Dhariyal akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa ITV/Radio One,Joyce Mhavile akiuliza swali kuhusiana na Michezo hiyo ya Kubahatisha mara baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT.
No comments:
Post a Comment