Social Icons

Sunday, 4 December 2011

KISA CHA AFANDE KUTOKUWEPO KTK ANT-VIRUS 26 USTAWI WA JAMII NAMNUKUU...

"Kwanza napenda kusema ninasikitishwa sana na mambo yanayoendelea hivi sasa,ninatukanwa na kudhalilishwa nikiitwa msaliti,lakin ukweli sijasaliti,mimi ni mpambanaji na siku zote nimepigana vita hii,nimejitolea sana wakati huowenzangu walianza kufanya mambo yao bila kunishilikisha,na hii ilikuja baada ya mimi kukataa kushiriki kuimba kwenye ALBUM YA ANT-VIRUS VOLUME 2,niliwaambia mimi nina familia na watu wengine wananiangalia so siwezi kutukana...kitu kingine mimi nina IMANI ZA KIRASTA NA WENZANGU WANAIMANI ZA KIHUSTLER ndio maana tunapishana sana maamuzi,niliwaambia wenzangu kuwa msimamo wangu mimi ni KUWAPATANISHA HAWA WATU WAWILI...kwa kuwa sugu sasa ni mtu mkubwa nchi hii anaweza kumuita jamaa na kumuweka chini wakanyoosha penye makosaSABABU ZA KUPAFORM LEADERS...anasema "kukosa mwaliko wa ANT-VIRUS,wenzangu hawakunitaarifu na hata kwenye matangazo yao hawakuniweka ndio maana nilipoitwa huku nikakubali,mimi naishi kwa kutegemea muziki,sasa siwez kukataa kazi wakati nina shida ya pesa,ndio maana nilipoitwa huku nilikubali lakini HAIMAANISHI KUWA NIMEACHANA NA HARAKATI AU SIWAUNGI MKONO WENZANGU...HATA HIVYO BADO NAENDELEA KUWASILIANA NA SUGU ILI TUZUNGUMZE....
Habari kwa Hisani ya Bongo Flava Tz

HAYA NDIO AFANDE ALISEMA NA LEO ANARUDI KUFANYA KAZI NA HAWAJAMAA



1 comment:

jfk said...

To Afande Sele, mdogo wangu nilikuwa na Sugu siku ile usiku wakati wa kikao cha Bunge ukiwa umempigia simu ndefuuuu sana ukieleza masharti yako kuhusu kushiriki katika tamasha hilo. Tatizo lako halikuwa kualikwa. Kwa kuwa wenzio hawajaamua kuutarifu ulimwengu ukweli wa hadithi hiyo nami nanyamaza ila na wewe ni heri unyamaze kuliko kusema vitu ambavyo si sahihi.