Mkurugenzi
wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti akizungumza na kituo cha
Televisheni cha ITV leo, kuhusu mwenendo wa mashindano hayo na kuwataka
mashabiki kujitokeza kwa wingi ili kuangalia michuano hiyo.
wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti akizungumza na kituo cha
Televisheni cha ITV leo, kuhusu mwenendo wa mashindano hayo na kuwataka
mashabiki kujitokeza kwa wingi ili kuangalia michuano hiyo.

wa timu za Kilimanjaro Stars na Zimbabwe wakipambana mbele ya lango la
timu ya Zimbabwe wakati wa mchezo wao wa kuwania kombe la TUSKER
CECAFA CHALLENGE CUP 2011.

wa timu ya Yanga wakifanya kitendo ambacho si cha kizalendo kwa
kuishangilia timu ya taifa ya Zimbabwe wakati wa mchezo wa kuwania
kuingia robo fainali ya michuano ya TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011,
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii na Kilimanjaro Stars
kufungwa goli 2-1 . Kitendo hicho kimelaaniwa na hata waandishi wa
vyombo mbalimbali vya nje waliokuwa wakiripoti mchezo huo na kusema,
"Hii haisaidii maendeleo ya soka na haijawahi kutokea katika nchi zao
mashabiki wa nyumbani wakawashangilia wageni".

Thomas Ulimwengu wa Kilimanjaro akijaribu kumtoka Eric Mudzingwa wa
timu ya Zimbwabwe katika mchezo wa kuwania kombe la TUSKER CECAFA
CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika jioni hii kwenye uwanja wa Taifa.
Ndani ya dakika 11 timu ya Kilimanjaro Stars imefungwa goli 2 za
harakaharaka na timu ya Malawi huku ikishambuliwa kwa muda mdrefu na
wamalawi hao hata hivyo katika kipindi cha pili mwishoni timu ya
Kilimanjaro Stars imezinduka na kufanikiwa kupata goli 1 katika dakika
ya 87 kipindi cha pili. na kufanya matokeo kuwa 2-1 Hivyo kwa
matokeo hayo ya 2-1 timu ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga
mbele katika hatua ya robi fainali ambapo itashuka dimbani tarehe 6
mwezi huu kucheza na timu ya taifa ya Malawi.
Lakini
jambo la kushangaza ni kwa upande mashabiki wa Yanga waliokaa upande
wa kulia ambao wameonekana kushagilia vilivyo timu ya Zimbabwe,
kiasi kwamba waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya nje
wanashangaa inakuwaje mashabiki watanzania wako hivyo. Akifadhaika
zaidi mpiga picha wa Kenya Mohamed Amin, ametoa mfano kwamba wao kwao
timu yao ya taifa wanaijali na kuipenda vilivyo, tofauti na vituko
vya mashabiki wa Yanga alivyoviona leo.

Anaongeza kwa kutoa mfano kuwa "Mwaka
1987 timu yao ya Harambee Stars iliwahi kuwa na wachezaji 12 wa
timu ya Golmahia, na kati ya hao 12 wachezaji 9 walikuwa wakianza
kipindi cha kwanza, lakini mashabiki hawakuwahi hata siku moja
kufanya kitendo cha aibu kama hiki cha mashabiki wa Yanga"
amemaliza Mohamed Amin, Mwana wa mpiga picha Maarufu wa ukanda huu wa
Afrika Mashariki na kati mzee Mohamed Amin aliyepoteza maisha katika
ajali ya ndege miaka kadhaa iliyopita.Habari Kwa Hisani Ya Father Kidevu

No comments:
Post a Comment