Social Icons

Monday 12 December 2011

Mbeya Yaitungua Mara bao 62 - 50 katika mashindano ya Castle Litle Taifa Cup

Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu na mchezaji wa timu ya Mara,Mussa Mwambije wakiwania mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu akiwatoka mabeki wa Mkoa wa Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu akifunga goli wakati mabeki wa Mara wakimshuhudia bila mafanikio ya kuzuia wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu (kulia )akijaribu kumpita beki wa timu ya Mara, Mussa Mwambije wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya akirajibu kuwapita mabeki wa timu ya Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.

No comments: