Social Icons

Monday 12 December 2011

TANZANIA MAINLAND 50TH INDEPENDENCE CELEBRATIONS IN LONDON

Watanzania wa Uingereza washerehekea miaka 50 ya UHURU London kwa wasanii wa kizazi kipya Pofessor Jay,Diomond na Ali Kiba kukamua kwenye sherehe hizo.
Watanzania wa Uingereza wakijumuika pamoja katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara iliyofanyikia London,UK
Nifuraha iliyoje kwa Tanzania Bara kufikisha miaka 50 ya Uhuru hapa ni Watanzania wa Uingereza wakisherehekea sherehe hizo za miaka 50 kwa kupata picha ya kumbukumbu
Watanzania wakijumuika pamoja mjini London kusherehekea miaka 50 ya UHURU Tanzania Bara.
Watanzania wakipata picha ya pamoja walipojumuika pamoja kusherehekea miaka 50 ya UHURU
Wasanii wa kizazi kipya kutoka shoto Prof Jay,Diomond na Ali Kiba ambao waliungana na Watanzania wenzao wa Uingereza kusherehekea Miaka 50 ya UHURU
Ali Kiba akikamua na wimbo wake wa Dushelele
Msanii wa kizazi kipya Dimond(kati) akipata picha ya pamoja na Watanzania wenzake kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU iliyofanyikia London,UK
Juu na chini ni Watanzania wakipata picha ya kumbukumbu ya miaka 50 ya UHURU
Watanzania wa Uingereza wakisherehekea miaka 50 ya UHURU iliyofanyikia London,UK
Watanzania wakipata picha ya kumbukumbu ya miaka 50 ya UHURU
Jestina George wa pili toka kulia akipata picha ya kumbukumbu katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU.

Picha kwa hisani ya Jestina George

No comments: