Social Icons

Monday 12 December 2011

Washindi wa kwanza wa promosheni ya mzuka wa Airtel wapatikana

Afisa habari na matukio wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel Bi Veronica Thomas Simu aina ya Samsung GT-E2222 mara baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe zikiwemo simu, ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu.
Baadhi ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel wakionyesha simu zao mara baada ya kuibuka washindi na kukabidhiwa simu hizo katika makao makuu ya Airtel Tanzania, pamoja nao pichani ni wawakilishi wa Airtel (wa kwanza kushoto) ni Afisa uhusiano Dangio Kaniki na (wa kwanza kulia) ni Prosper Mwanda Afisa masoko wa Airtel Tanzania.

No comments: