Social Icons

Friday, 2 December 2011

MR EBBO AMEFARIKI DUNIA

HABARI ZILIZO TUFIKIA SI MUDA ZINASEMA MSANII MAARUFU MR. EBBO AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA JANA HABARI ZAIDI BAADAE.. KWA NIABA YA WADAU WOTE NINATOA POLE SANA KWA FAMILIA YA NDUGU MAREHEMU.
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI

1 comment:

Mulawaya said...

MR Ebbo! may you rest in eternal peace.May you entertain the angels.we shall miss you