Social Icons

Saturday 10 December 2011

TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.


Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa Uhuru huku akipinga mkono tayari kwa kuongoza Watanzania katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea heshima.


Jukwaa Kuu.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.



Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita mbele ya Jukwaa Kuu kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu.












Makomando wakionyesha ushapavu wao katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.








No comments: