Social Icons

Wednesday, 7 December 2011

Waziri wa Fedha,Mkulo azindua huduma mpya ya airtel money tanzania leo.



Mgeni rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo pamoja na Mkurugenzi wa Airtel Money Kelvin Twisa wakizindua huduma ya Airtel Money kutoka Airtel Tanzania,hafla hiyo imefanyika leo mchana kwenye hotel ya Hyatt-Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,Bw.Sam Elangallor akishuhudia tukio hilo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa huduma ya Airtel Money,leo jijini Dar.
Mgeni rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo akisoma hotuba yake mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kwenye uzinduzi wa huduma hiyo itolewayo na Airtel Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,Bw.Sam Elangallor akizungumza kwa ufupi kuhusiana na uzinduzi wa huduma ya Airtel Money Tanzania.

No comments: