Social Icons

Thursday, 2 February 2012

Majina mengine ya Nyumba za kulala ni Gumzo!! sasa Cheki hii hapa walicho andika.... !!

Wadau sasa hii ni nini ? Bado najiuliza sasa huyu mwenye Hii nyumba ya Kulala wageni ni Mtumishi ama maana jina hili kwa kweli halikustahili kukaa eneo kama hili ama wadau mna mchango gani wa mawazo

No comments: