Aunty Sadaka akizungumza kwenye hafla hiyo ya WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA party,season II.
Wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye hafla hiyo.
Mc wa shunguli Dinamarios akilianzisha,women ina balance kitchen party gala sehemu ya pili ikaanza rasmi.
Mama Victor msemaji wa nne
Wageni waalikwa wakilisakata rhumba mara baada mambo mbalimbali kuzungumzwa kwenye hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.Picha zaidi Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment