Social Icons

Monday, 28 May 2012

Hivi ndivyo Simba walivyoshangilia Ubingwa

 Wachezaji wa Simba wakiwa katika gari la wazi wakipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kusherehekea Ubingwa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara walioutwaa hivi karibuni.
 Msafara wa mashabiki wa Simba ukipita katika mitaa ya Magomeni Mapipa Dar es Salaam leo
  Mashabiki na wapenzi wa Simba wakizunguka na Kombe mitaani.
Shabiki wa Simba akiwa amebeba picha kubwa ya mnyama. 
Picha na HABARI MSETO BLOG

No comments: