Social Icons

Monday, 28 May 2012

Linah alivyo konga nyoyo za mashabiki wake California,Marekani


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga akiwa jukwaani akiimba moja ya nyimbo zake katika shoo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland California,Marekani.
Linah akiwachengua mashabiki wake katika ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland California
Lina katika picha ya pamoja na shabiki wake aliyejulikana kwa jina moja Teddy
Linah akipozi ndani ya Hammer mara baada ya kumaliza show yake
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: