Social Icons

Saturday, 5 May 2012

KILI MUSIC AWARD WINNERS ILIVYO KUWA HUKO JIJINI MWANZA LEO

 Show ya hapa Mwanza ilifunguliwa na msanii wa taarabu Isha Mashauzi, shangwe zilikuwa zakutosha kabisa na wapenzi wa burudani ya taarabu walipata chakula cha ubongo.



Mashabiki kibao 
 Akafuatia msanii aliyechukuwa tuzo ya RnB anajulikana kama Ben Pol

 Misago, Hellen & Dullah

Barnaba, Hellen & Sam Misago 

Kaka mkubwa ndio aliyekuwa akiangalia ulinzi wa wasanii wote wakiwa salama 

 Ikafikia zamu ya Ommy Dimpozi kupanda kwa steji, na show ilikuwa bab kubwa 

 Barnaba aka Baba Steve kwa steji

 Wacheza show wa msanii Diamond

 Ikafika zamu ya mtoto wa Zanzibar AT kupanda kwa steji

 Ikafika zamu ya msanii mwenye tuzo 3 kupanda kwa steji, hapa namzungumzia Diamond 

 Mtoto wa Tanga Roma ndio aliyefunga show kwa upande huu wa Mwanza
Kwa mapicha zaidi ingia hapa
BONGO STAR LINK- DJ CHOKA

No comments: