Social Icons

Saturday, 5 May 2012

NI KIPINDI CHA PILI SUDAN WANAONGOZA 2-1 DHIDI YA NGORONGORO HEROERS



Huko Sudan mpira unaendelea na Sudan wanaongoza goli mbili dhidi ya Ngorongoro Heroers ikiwa ni kipindi cha pili goli lao la pili limefungwa kwa njia ya penati, tuendelee kuwaombea vijana wetu ili tusonge mbele katika michuano hiyo,  tutawaletea matokeo ya mwisho mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo.


No comments: