Social Icons

Sunday, 6 May 2012

LIVE TAIFA HAPATOSHI MUDA HUU KUNA WATU WENGI SANA WANANGOJEA MPAMBANO SASA

Hivi ndivyo uwanja wa Taifa ulivyo furika muda huu 
(Picha na Ahmad Michuzi)
 Hapa Shabiki wa Simba akionesha katuni lake la mmyama live Muda huu
Mwanachama Mkubwa wa Simba Gadner Dibibi akiwa na mwanachama mwenzake Neshno muda huu wakionesha idadi ya magoli leo

Endelea kufuatilia ....



No comments: