Mashabiki kibao wa Simba wakiwa wanaingia Neshno muda mchache uliopita
Mashabiki wa Yanga na Ngoma Inogile live
Huko ubungo napo hapatoshi mashabiki kibao wa Simba na Yanga wakiwa wanajiandaa kuelekea taifa
Picha zote na mpiga picha wetu maalum pamoja na mdau Gadner Dibibi
Endelea kufuatilia
No comments:
Post a Comment