Social Icons

Thursday, 10 May 2012

MDAU WETU KATIKA BLOG BWANA JOSEPH LUKAZA ANAOMBA KURA ZENU ILI AWEZE KUINGIA KUMI BORA NA KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT TANZANIA

Alipokua Akipanda mche wa mti Ndani ya Kitivo Cha Elimu UDOM
Tovuti ya Kupigia kura inavyoonekana wakati ikiwa imashafunguliwa

NAOMBA MNICHAGUE MIMI JOSEPHAT LUKAZA
ILI NIWEZE KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT
KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA KATIKA CATEGORY YA INNOVATION NOMINEE.

JINSI YA KUSHIRIKI KWA NJIA YA KUTUMA UJUMBE MFUPI WA SIMU UNAANDIKA

"INV UDOM JOSEPHAT LUKAZA 3rd YEAR" HALAFU UNATUMA KWENDA NAMBA 0653202000

NA KUNIPIGIA KURA KWA KUTUMIA TOVUTI: UNAFUNGUA TOVUTI HII
http://www.excelwithgrandmalt.com ikifunguka Unajaza 

Jina Lako, Namba yako ya Simu halafu
Kwenye Sehemu Ya College UNA CHAGUA COLLEGE NINAYOSOMA AMBAYO NI
UNIVERSITY OF DODOMA..ukijaza hapo Kuna Field Zinafunguka Zikifunguka
Unajaza field ya kwanza

INNOVATION NOMINEE utaandika JOSEPHAT LUKAZA
Year Of Study utaandika/kuchagua 3rd Year

Then Utaenda Mwisho wa Post hizo Na Kubofya Submit baada ya Hapo Kuna Field inafunguka na kukuuliza ARE YOU SURE? unabofya OK na utakuwa umemaliza

Zoezi la Kupiga Kura Kwa Awamu ya Kwanza litaisha Tarehe 18 may 2012 ili washindi kumi waweze kupatikana

UNAWEZA KUPIGA KURA HATA MILIONI KUMI KWA SEKUNDE,DAKIKA,SAA NA HATA SIKU HAKUNA LIMITATION KWENYE KUPIGA KURA.PIGA KURA UWEZAVYO

No comments: