Hii ilikuwa penati ya Mwisho ambapo Juma Kaseja alipiga na kutolewa na Golikipa mwenzake
Picha zote na Mtandao huu
********
Katika mchezo wa kwanza uliofanyika wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam Simba ilishinda magoli 3-0 na kujiweka katika nafasi nzuri ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Shirikisho inayoandaliwa na Shirikisho la vyama vya mpira wa miguu Afrka (CAF) kabla ya kulinda ushindi wake mnono ilioupata jijini Dar es salaam kwa kukubali kipigo hicho kilichowasukumiza nje ya mashindano hayo. Al Ahly ilipata penati zote tano baada ya kushinda bao 3-0, na Simba walikosa penati mbili. |
No comments:
Post a Comment