vifaa vya kisasa katika studio hii ya future sound
Kazi inaendelea katika studio hii ya kisasa mchana huu
Mkurungenzi mtendaji studio ya future sound msanii Mike T akiwa kazini leo ,
Studio hii ya future sound inapatikana eneo la Mwembechai jijini D'Salaam ambapo kazi kubwa zimekuwa zikifanyika kwa kuwainua wasanii
Picha na Francis Godwin
No comments:
Post a Comment