Hapa kabla uzito haujapungua mambo yalikuwa hivi
Hapa Baada ya uzito kupungua kwa kufanya mazoezi na kula vizuri
Mama huyu hapa alisema hawezi kubali kuwa na mwili wote ule akaanza kukamua zoezi

Huwezi amini huyu ndiye yule mama katika picha ya kwanza sasa anafuraha kupunguza uzito
Kula vizuri na mazoezi tuu ndivyo vitu vimempelekea mama huyu kupoungua uzito
Picha na ABC



No comments:
Post a Comment