
Hiki ni chumba kikubwa kabisa ambacho kina vitanda viwili vikubwa mwaweza jiachia hapa


Hii ni Bonge ya moja ya Sebure ya kiaina ambapo unapata huduma ya Big HD LDD Screen kwa raha zako kama huyu Mzee na mdada wanavyo pata maraha sasa

Hii ndio ndege yenyewe sasa lakini humo ndani ndio makila kitu yanaendelea

Huyu ni mfanyakazi akiwa anatandika Moja ya Private room hizo ndani ya Pipa hilo

Sasa hapa wadau msizani ni Sebuleni hapana, Hii ni sehemu tuu katika ndege hiyo ambayo inatoa huduma za kipekee kabisa
Picha na Garry dawson
No comments:
Post a Comment