Social Icons

Thursday 26 July 2012

Bado nipo huku Jungle naendelea na kazi zangu za Nje...

Hapa nikiwa zangu Jungle kikazi

Kusema ukweli huku nilipo ndugu wapenzi wa mtandao huu kuna mambo na vijimambo sana, imagine yani hii Hoteli nimefikia ipo bushi kinoma yani, Huku hakuna hata meza kwa hiyo kazi zangu zote nafanyia hapa hapa kama ninavyo onekana. Pia kwa ujumla mimi nafanya kazi zangu popote pale kambi, kama kawa nyie endeleeni kupata taarifa tuu toka kwenye mtandao huu wa kijanja zaidi.
hapa ilikuwa baada ya kutoka kufanya uchunguzi flani sehemu sasa nimerudi kuandika ripoti nitaweka picha baadhi hapa chini za huko porini nilipo kwa sasa, mpaka takapo rejea. lakini msiwe na wasi wasi Libeneke linaendelea kama kawaida, nawashukuru wote kulitembelea kwa kasi.
Daah kazi yangu ya Mazingira kwa ukweli ni Ngumu sana hapa najaribu kutambua ni aina gani ya huu mmea naumiza kichwa hapa sana, kwa siku mbili nimekuwa sijapata jibu mpaka jana ndio nimepata majibu ya mmea huu jamani. 

Karibuni kuendelea kunisapoti;
Bofya hapa chini ku Like Page yangu ili upate updates zaidi.

No comments: