Social Icons

Thursday 26 July 2012

Ni wakati wakusapoti mashindano ya Miss Tourism ambayo ni ya kipekee kabisa, mavazi hayamdhalilishi mwanamke!!





































Ni shindano ambalo ni la kwanza kwa upekee Tanzania, ambapo washiriki wake hawavai nguo za kumdhalilisha mwanamke na wala kumdhalilisha mtazamaji.. 


Bofya hapa kuona picha zaidi: Miss Tourism Tanzania


Bofya hapa Chini ku like Page yao

No comments: