Picha hii Nilipiga Usiku wakati nikijaribu aina mbali mbali za upigaji picha, hii ilikuwa picha bora kwa mtazamo wangu.
Picha hii nilitumia Scene inaitwa Night Portrait ambayo inahusika na kama unapiga picha usiku
Picha hii nilitumia Scene inaitwa Night Land scape ambapo inaonesha eneo vema.
Picha zote hizi nilizipiga wakati nikijaribu kuona Kamera ndogo za Digital hasa hizi za kisasa zina nguvu kiasi gani kupiga picha, na katika hili nimejifunza kwamba kuwa na kamera ndogo au kubwa sio sababu za kupata picha nzuri lakini picha nzuri zinakuja kutokana na umahili wa mtu kupiga picha hizo.. Bado naendelea na mazoezi ya Kupiga Picha na takuwa na post kadili navyo pata maeneo mbali mbali.
Picha zimepigwa na : Fredy Tony Njeje
Kamera iliyo tumika : Nikon
No comments:
Post a Comment