Hapa Nilienda kununua kuku kibao kwa sababu wageni walikuwa ni wengi kwa kweli, na ni wakienyeji
Haya yalikuwa ni mayai ambapo niliandaa kwa ajili ya kutengeneza mboga ya Mayai
Hivi viungo vilitumika kupikia samaki,kuku na nyama
Hivi viungo vilitumika kupika ile mboga ya Mayai
Tambi zilikuwepo kwa wingi sana
Haya mazaga zaga yalitumika kutengenezea nyama pia na Samaki pia makaroni
Wali kuku watu wali enjoy vilivyo
Wali kuku watu wali enjoy vilivyo
Samaki wakitosha walikuwepo live
Huu ulikuwa ni wali ambao umechanganywa na Mboga ya mayai
Kachumbali la nguvu lilikuwepo pia
Chips zilikuwepo
Mi menyewe Mpishi Fredy Tony mwenye Libeneke hili
****
Wadau walikuwepo wengi sana ambapo picha tawaletea tuu msihofu hiyo ndiyo misosi nimepika na wamejichana kweli kweli.
pamoja sana katika mfungo huu!
2 comments:
mmmh kumbe kakangu ni mpichi hodari hivyo......very nice vyakula vinavutia mnooo!!
Hongera sana fredy
Post a Comment