Social Icons

Thursday, 30 August 2012

Check how Malaysian Celebrates their Independence this Night ....
Muda huu ni sherehe Nderemo na Vifijo katika kila Kona za Malaysia, watu wanapiga Baruti za kila aina, Tone Live Media Group ambao pia ni wamiliki wa This day Magazine tumeshuhudia tukio hili ikiwa sasa ni saa Sita za usiku, wapo mbele masaa matano zaidi na Tanzania. kwa ujumla watu ni wengi sana eneo la tukio. Hapa tumepiga picha umbali kama wa Kilometa 5 hivi kuwaonesha firework zilivyo kuwa zikirindima. Hapo zinapo Pigiwa panaitwa Twin Towers au KLCC Suria . 
Picha zote na Fredy Tony Njeje wa Tone Media

No comments: