Social Icons

Friday, 21 September 2012

INGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?: MWANAMKE AOLEWA NA BABA YAKE NA KUZAA WATOTO BILA KUJUA KUWA NI BABA YAKE
Valerie Spruill

Taarifa ambayo imewashtua watu wengi inamuhusu mwanamama Valerie Spruill ambae ameishi na baba yake mzazi kama mke na mume kwa miaka 40 bila kugundua.

kwa mujibu wa Daily Post Nigeria, Spruill aligundua hii siri mwaka 2004 na amewavutia wengi kwa ujasiri wake wa kuiweka wazi kuhusu mumewe ambae kwa sasa ni marehemu.

Chanzo cha yeye kufahamu ni kutokana na kukusanya taarifa mbalimbali ambazo mwanzoni alianza kuzipata kama tetesi za umbea kutoka kwa watu mbalimbali.

Mpaka sasa mama huyu mwenye umri wa miaka 60 ana watoto watatu na wajukuu nane na alifahamu ukweli wa hii ishu kupitia kwa Uncle wake siku chache baada ya kifo cha mume wake.

Umeshawahi kusikia kisa cha aina hii? unemfahamu yeyote? mawazo yako ni yapi ili kuepuka vitu kama hivi?.


 Vijimambo blog

No comments: