Social Icons

Saturday, 27 October 2012

Je wewe unakumbuka nini kutoka kwa Babu Mchungaji Ambilikile Mwasapile?


 Babu Ambilikile Mwasapile akiwa katika pozz 
 Babu Ambilikile Mwasapile akigawa dozi ya kikombe wa watu waliofika kijijini kwake Loliondo
 Babu Ambi akitoa Dozi kwa waheshimiwa.
 Babu Ambi na wageni kutoka nchi za kigeni ambao walimkubari sana kwa uwezo wake wa kutoa Dozi kwa kikombe. 
 Mzigo ulikuwa ukichemshwa kisawasawa.
 Babu Ambi alikuwa akitoa Dozi kwa Watu kibao kwa siku moja.
 Msururu wa Magari uliokuwa ukiingia kijiji cha Loliondo,hawa wote walikuwa wameenda kula Dozi ya Kikombe toka kwa Babu Ambi.
 Njia ilikuwa inafunga kiasi kwamba hakuna gari linalotembea si kwa kwenda wa kwa kurudi.
 Ushirikiano ulikuwa Mkubwa sana kwa watu walikuwa wakitumia Mabasi hasa pale yalipokuwa yanakwamba kama ionekanavyo picha hii.yote hayo ilikuwa ni lazima wakapate kikombe cha Babu Ambilikile Mwasapile.
 Babu Ambilikile Mwasapile akiwa katika Maabara yake ya Vikombe.
Babu Ambi na Mkoko wake alioupata kutokana na kutoa dozi ya Kikombe wa watu mbali mbali hapa nchini katika kipindi cha mwaka jana 2011.

Tukio limeandaliwa na : Mtaa kwa Mtaa Blog.

No comments: