Social Icons

Tuesday, 30 October 2012

SAJUKI: SASA NIKO POA , HII NDIYO NGOMA YANGU MPYA


Ni kitambo sasa  tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taaraifa za karibunu zikidai kuwa   hali ya  nyota huyo  bado ni tete na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wake.
Kupitia  teeentez.com pekee taaraifa rasmi ni kuwa hali nyota huyo kwa sasa  ni njema yuko tayari tena  kuanza kuwatumikia  watanzania  kupitia tasnia ya  filamu.
Kwenye Exclusive interview aliyofanya na teentz.com mapema leo Sajuki amewashukuru watanzania  kwa kuwa pamoja nae kwenye wakati wote wa  matatizo  mpaka sasa  anajisikia yuko vizuri tofauti na ilivyokuwa awali.
Nashukuru kuwa  sasa niko poa, watanzania  waelewe hilo, kwa sasa  naweza hata kuendesha gari na karibuni nitaanza  kucheza muvi tena  alisema Sajuki.
katika kuonyesha kuwa anathamini mchango wa Watanzania Sajuki ameachia ngoma ambayo ameamua kuipa jinala Shukurani 

No comments: