Social Icons

Wednesday, 31 October 2012

BOB JUNIOR , "NIKO TAYARI KUSIMAMA NA DIAMOND"


Nyota wa ngoma ya mawazo ambaye pia ni bosi wa lebo ya Sharobaro Record, ya jijini Dar, Bob Junior amesema sasa yuko tayari kusimama kwenye ngoma moja na mkali kutoka Wasafi Entertainments, Diamond Platinumz.
Akizungumza na teentz.com, mapema leo Bob Junior amesema licha ya kuwa aliwasiri jana jioni kutoka Oman alikokuwa kwa mapumziko na amepata bahati ya kuisikiliza ngoma mpya ya Diamond na kuona kuwa ni kawaida kwani haina kitu kipya ilichofanyiwa

Vijimambo Blog

No comments: