Hapa nikiwa Na mtu mzima Salim Chuma ambaye Pia ni Blogger wa CHUMA BLOG kutoka Moro
Huku ni Mitaa ya Morogoro Na Salim Chuma
Hapa ilikuwa ni Balaa ambapo mtu mzima Malicky Boaz Mzee wa Zeee la Misemo na Salim Chuma wakiwa maeneo yao ya Kujidai
Ni Bonge la moja wa Ukodaki ambapo Kushoto nimesimama mimi mwenyewe anafuata Malicky Boaz kisha Salim Chuma
Chuma ametisha hapa anablogisha popote
Nikiwa ndani ya Studio za Digital Vibes hapa nikifanya mambo ya Kuendeleza Libeneke kama kawa
Hapa nikiwa na Mtu mzima Producer GQ ndani ya Digital vibes Jamaa huyu ni Mtata sana katika mambo ya music aiseee
Majembeeeeeee!!!!!!
Ohoooo kumbe na mimi nina Pozi za Kiproducer
No comments:
Post a Comment